by ITASO
June 21st 2021.

‼️‼️BASH BASH BASH‼️‼️‼️


Una Kipaji?? Kipi ?? Unaweza Ukakionesha Live?? Uka Perform na Wenzako ambao wataungana na wewe Ku perfom live...

Sikia, Mchongo uko hivi 

Wewe ni Mkali wa Michano? (Rap or trap)

Wewe ni Mkali wa Karaoke?? (Song Performer)

Wewe ni Dancer? (Mkali wa Kucheza)

Wewe ni Mchekeshaji??(Stand Up Comedy)

Wewe Ni DJ??(Mkali wa kuMix)

Au Wewe Ni PHOTOGRAPHER mzuri na una vifaa vyote?? Na unataka uwe miongoni mwa watakaokuwepo kuchukua Picha na matukioo yote yatakayoendelea.... Ili uwe Official Photographer wa siku hyo... 



Au Una kipi ambacho unataka Kukionesha Katika Bash letu 2021...
*Na utapata Nafasi ya Kupeform LIVE Kwenye Stage Kubwa Ya Bash 2021*

Chakufanya ni Kitu simple kama unataka kuungana na ili Ku perfom live...

Inbox
Kiongozi yeyote wa Entertainment Kati ya 

Doris Barnabas
Erick Msechu
Janerose Damian
Shaban Jongo...

Au kiongozi yeyote utakemuona karibu yako au ikiwezekana unaweza kufika Ofisi ya ITASo...

Mwisho ni Tarehe 25 June 2021 kupokea Majina ya hao wenye Vipaji...

Nyote Mnakaribishwa

*FairWellBash 2021*

*#Hatuwaagi_KIZEMBE*

Cc
Wizara ya Michezo, Vipaji na Burudani...

Search Website

Search

Subscribe

Newsletter

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support