by ITASO
June 22nd 2021.

*TANGAZO TANGAZO* ‼️

*Habari za wakati huu,
Serikali ya wanafunzi ITASO, kupitia wizara ya michezo inapenda kukuhamasisha wewe mwana ITA kuweza kuhudhuria fainali za University Awards, siku ya tarehe 03 Julai. 
Ticket zinapatikana kwa bei kama zinavyoonekana katika bango. Unaweza kumuona waziri yoyote wa michezo kujipatia ticket yako mapema....

Washiriki wanaotokea chuoni kwetu ni;
Henry Mandela -Best producer category
Erick Tesha- Best comedian category
Winnie Tito- Best public speaker category

Tujitokeze kusupport vipaji vyao ili awards zije nyumbani?



Wote mnakaribishwa☺️

Wizara ya michezo,
1. Doris Barnabas
2. Erick Msechu
3. Janerose Damian
4. Shabani Jongo*

Search Website

Search

Subscribe

Newsletter

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support